top of page

KITUO CHA HUDUMA YA KIKRISTO

Washa, Mpango wa Masomo inayotoa Cheti , Masomo ya Vikundi  Mtandaoni na Zaidi.

Chuo Kikuu cha Star ( Star University)  kimepewa leseni katika jimbo la Oklahoma na Bodi ya Shule za Kibinfasi za Ufundi  za  Oklahoma. Tunatumia teknolojia ya kisasa  kuwahudumia wanafunzi wetu kupitia madarasa ya mtandaoni na ya darasani  kote ulimwenguni.


Tumejitolea kusaidia watu binafsi na makanisa  kufikia malengo yao na kufikia jumuiya ya kidijitali inayoendelea kukua.  Chuo Kikuu cha Star  kimejitolea kuhakikisha kuwa programu zake za elimu zinafaa, zinatoa maarifa, ufahamu na hekima  ambayo ni muhimu kwa kufanikiwa kwa huduma katika Karne ya 21.


Tukiwa na vituo viwili vya kujifunzia nchini Nigeria, kimoja nchini Kenya na kimoja Cameroon, kitivo chetu cha kimataifa kinatoa mafunzo mengi kupitia kwa mtandao na nje ya mtandao. Hatuzingatii tu usomi,  sisi ni wanatheolojia, wachungaji, watengenezaji filamu na zaidi ya yote watu wanaofanya wengine kuwa wanafunzi.

Kenya_staruniversty
bottom of page